Kenya: Soccer Tourney Brings Health Care Too | OneWorld.net U.S.

•September 7, 2009 • Leave a Comment

British marriage scam exposed

•September 5, 2009 • Leave a Comment

Nizar, Nadir watamba Canada

•September 3, 2009 • Leave a Comment

Nizar, Nadir watamba Canada

Nadir Haroub ‘Cannavaro’ na Nizar Khalfan wachezaji wa Timu ya Taifa ambao waliondoka wiki iliyopita kwenda nchini Canada wamelivutia benchi la ufundi la timu ya Vancouver Whitecaps na wanaweza kusajiliwa kwa mkataba muda wowote. Naibu Meneja wa Kampuni ya LZ Enterprises, Rahim Kangezi alisema ya kuwa wachezaji hao kesho watacheza mechi yao ya kwanza dhidi ya Toronto FC na baada ya mechi hiyo watajua nini kinachoendelea. Kangezi alisema kuwa

Nadir Haroub ‘Cannavaro’ na Nizar Khalfan wachezaji wa Timu ya Taifa ambao waliondoka wiki iliyopita kwenda nchini Canada wamelivutia benchi la ufundi la timu ya Vancouver Whitecaps na wanaweza kusajiliwa kwa mkataba muda wowote.

Naibu Meneja wa Kampuni ya LZ Enterprises, Rahim Kangezi alisema ya kuwa wachezaji hao kesho watacheza mechi yao ya kwanza dhidi ya Toronto FC na baada ya mechi hiyo watajua nini kinachoendelea.

Kangezi alisema kuwa Khalfan na Cannavaro wameonyesha uwezo mkubwa tangu walipowasili nchini humo Julai 3 na hakuna shaka kuwa watafanya vema siku za usoni na kuingia mkataba.

Aliongeza kuwa, timu hiyo inataka kujiimarisha zaidi katika ligi hiyo na wachezaji hao wawili ni miongoni mwa tegemeo lake katika ligi.

“Waliwaona siku ambayo timu hiyo ilipocheza na Yanga na Taifa Stars, wakaridhika na kiwango chao, vile vile, wameonyesha uwezo zaidi huko, bila shaka watafanikiwa na kuwa wachezaji wa kwanza kucheza soka ya kulipwa Amerika ya Kaskazini” alisema Kangezi.

Alisema kuwa bado wanatarajia Zahoro Pazi kujiunga na wenzake muda wowote baada ya kukamilika kwa taratibu za kusafiri na za kiufundi.

“Pazi anatakiwa kujiunga na wenzake ndani ya wiki mbili na tayari mipango hiyo ipo mbioni” alisema.

Wakati huo huo, mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga, Boniface Ambani anaondoka leo jioni kwa ndege ya Emirates kwenda China kucheza soka ya kulipwa.

Ambani alisema jana kuwa anaondoka leo, lakini bado hajawa na uhakika kama kweli atabaki huko au la kutokana na mambo fulani ambayo bado hawajafikia muafaka na timu hiyo.

“Siwezi kusema kama naenda sitarudi tena, ila, nakwenda China nikiwa mguu ndani mguu nje na kama tukishindwa kufikia muafaka ndani ya wiki moja nitakuwa Dar es Salaam,” alisema.

Alisema endapo atasajiliwa katika timu hiyo, itakuwa faraja kwake kwani malengo yake yatakuwa yametimia kwani awali kabla ya kutua Yanga alikuwa anacheza soka ya kulipwa nchini India.

via Dar411.com: Dar-es-Salaam News and Information Portal:Nizar, Nadir watamba Canada.

whitecapsfc.com – PDL – Player

•September 3, 2009 • Leave a Comment

Is the DivaCup reusable menstrual cup as green as it claims? : This Magazine // Canadian progressive politics, arts, culture, and ideas since 1966

•September 3, 2009 • Leave a Comment

LIUNA LOCAL 183 Members Walkout at Toronto’s Pearson International Airport

•August 22, 2009 • Leave a Comment
Janitor and cleaners from Pearson International Airport picketing at terminal three in Toronto. They are in disagrement with the management Hurley Group over pay raise, sick days and poor working conditions. Photo By KHALID MAGRAM

Janitors and cleaners from Pearson International Airport picketing at terminal three in Toronto. They are in disagrement with the management Hurley Group over pay raise, sick days and poor working conditions. Photo By KHALID MAGRAM

Photo By KHALID MAGRAM

Photo By KHALID MAGRAM

Photo By KHALID MAGRAM

Photo By KHALID MAGRAM

Photo By KHALID MAGRAM

Photo By KHALID MAGRAM

Share this Post
     

MICHUZI

•August 22, 2009 • Leave a Comment

globecampus.ca ~ ‘You learn the most from the hardest things’

•August 20, 2009 • Leave a Comment

JAAZ IN THE PARK – COXWELL PARKETTE

•August 5, 2009 • Leave a Comment

The music of top Canadian and internationally-acclaimed talent will be filling the air in the first annual Mosaic Does Jazz festival. Organized by the Danforth Mosaic BIA, the festival will spotlight the diversity of the jazz genre throughout the summer. This free event is open to all local residents as well as Jazz enthusiasts from across Toronto. Everyone is encouraged to bring a lawn chair or blanket and listen to the music. Vendors from local businesses will be on-hand to provide food and refreshments to the listening audience.

What: Mosaic Does Jazz (Jazz in the Park)
When: Every Wednesday, from July 1st to September 2nd inclusive, rain or shine
Where: Coxwell Parkette (SW corner of Coxwell and Danforth) from 5pm to 8pm

Wednesday, July 1st – Autorickshaw. Sponsored by A-way Express
Wednesday, July 8th – Terra Hazelton Quartet. Sponsored by
Wednesday, July 15th – Sultans of Strings. Sponsored by
Wednesday, July 22nd – Steve Koven Trio. Sponsored by
Wednesday, July 29th – Yvette Tollar, featuring Rich Brown. Sponsored by
Wednesday, August 5th – Rob McConnell Trio. Sponsored by Status Auto
Wednesday, August 12th – Project Rex featuring former members of The Shuffle Demons. Sponsored by
Wednesday, August 19th – Bill McBirnie with Robi Botos & Jon Maharaj. Sponsored by
Wednesday, August 26th – Maria Farinha with Jongo Trio, featuring Roy Patterson. Sponsored by
Wednesday, September 2nd – Carin Redman Quartet featuring George Koller and Mark Kieswetter. Sponsored by Mill Street Brewery

A big thank you to all of our sponsors for supporting our first jazz festival!

Written by admin · Filed Under COMMUNITY
Photos By KHALID MAGRAM
000_0428

000_0435

000_0429

000_0426000_0433
000_0431
000_0427

Zanzibari Reunion in Toronto

•August 1, 2009 • Leave a Comment